r
#Rais Dkt. John Pombe Magufuli ashuhudia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma wakikabidhiana Dhahabu pamoja na pesa zilizokamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Julai 24, 2019 , AHSANTE SANA MHE RAIS WA KENYA UHURU
Sort: Trending